TUNDU LISU: MBUNGE KAMBI YA UPINZANI AKAMATWA




"Sisi tumemtia nguvuni na kufanya taratibu za kumpeleka Dar es salaam kwa mahojiano", alisema RPC, Polisi wamethibitisha kukamatwa kwake bila kutoa sababu mahalum.

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alisema chama chakekinafanya utaratibu zakisheria ili kubaini sababu yakukamatwa kwake.

Popular posts from this blog

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, aomba maji ya mwekezaji

MWANA SPOTI

Blowser error: Invalid Server Certificate