TANZANIA: TODAY NEWSPAPER HEADLINES / VICHWA VYA HABARI MAGAZETINI LEO.

GAZETI LA MWANANCHI


  • Mh. Makonda: Kukabidhi majina 97, watoto wa viongozi ndani... 
    Awamu ya tatu ya oparesheni maalum ya kutokomeza madawa ya kulevya nchini, imeendelea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuitisha mkutano na waandishi wa habari pamoja na viongozi wengine wengi wa mkoa, ambapo kwa pamoja wameendelea kusisitiza kwamba vita hiyo ya madawa ya kulevya ni endelevu na wataendelea kupambana kuhakikisha madawa ya kulevya yanaisha Dar es Salaam na wote wanaojihusisha na biashara hiyo haramu wanafikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
    Katika mkutano huo, Mkuu wa Mkoa, Makonda amemkabidhi orodha ya watu 97 wanaotuhumiwa kuhusika na madawa ya kulevya ambapo amemkmabidhi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers William Sianga.
  • Mh. Makonda: Akoleza vita na wabunge ataka wapimwe utumiaji dawa zakulevya (Bofya: Video)



Popular posts from this blog

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, aomba maji ya mwekezaji

MWANA SPOTI

Blowser error: Invalid Server Certificate