TANZANIA: TAFSIRI FEKI ILOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII IMEMUWEKA MATATANI MWONGOZA WATALII "TOUR GUIDE"


Muongoza watalii huyo wa mbuga ya Serengeti nchini Tanzania katika hifadhi amekamatwa baada kutafsiri kimakosa maongezi ya mtalii kuhusu nchi na watu wake.

Katika kipande cha video hiyo alitafsiri kwa kiswahili kwamba mtalii anataka watanzania kuacha "kulalamika" kuhusu njaa. Ingawa mtalii huyo alikuwa akisifia ukarimu wa Watanzania. 


Kamanda wa Polisi Mkoa Jaffari Mohammed alikiambia chombo cha habari kwamba alikuwa "kupotoshwa" utalii. Uchunguzi bado wafanyika kubaini uvunjaji wa sheria za mitandao






Popular posts from this blog

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, aomba maji ya mwekezaji

Blowser error: Invalid Server Certificate