TANZANIA IMEAGIZA WANAUME WATUHUMIWA WA KUWA MASHOGA KUTOA TAARIFA KWA POLISI.



Waziri wa afya Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza watu watatu watuhumiwa wa “kueneza shughuli za mashoga” kupitia mitandao ya kijamii ili kuhojiwa na mamlaka.
 
Ngono ya jinsia moja ni kinyume cha sheria nchini Tanzania na adhabu ya hadi miaka 30 jela .
 
Kingwangala ameonya kuwa ikiwa hawato fika polisi watakamatwa.
 
 

Popular posts from this blog

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, aomba maji ya mwekezaji

Blowser error: Invalid Server Certificate