MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI NEW DELHI, NCHINI INDIA.
NCHINI india mjia wa NEW DELHI: Mtanzania Pamela David Kiritta (41) amekamatwa akiwa na kilo nne za madawa ya kulevya (cocaine) yenye thamani ya Rs milioni 300 sawa TZS bilioni 9.7 katika hoteli.
Mkurugenzi wa upelelezi wa Kanda ya Delhi, Madho Singh, alisema madawa hayo yalipatikana katika mizigo ya Thelma na hivyo wanawake wote wawili wamekamatwa kuhusiana na madawa hayo ambayo thamani yake katika soko ni kubwa.
