Kashfa yamlazimu mwana habari wa Mitandao ya kijamii “Blogger” ajulikanaye kwa jina la
Tarpley mwenye umri wa miaka 71. kulipa 'kiasi kikubwa' kwa Mke wa Raisi wa Marekani, Bi Trump.
Mwana habari wa mitandao jijini “Maryland” nchini Marekani alazimika kumlipa mke wa Raisi wa
Marekani juu ya makala zenye madai kuwa “Melania Trump” aliwahi kufanya kazi kama mlinzi
binafsi “escort”, wakili wake alitoa tamko hilo wiki hii.
"Mimi nakiri kwamba kauli hizo za uongo zilikuwa hatari sana na zenye kudhuru kwa Bi Trump na
familia yake, na kwa hiyo mimi kwa dhati naomba msamaha kwa Bi Trump, mtoto wake, mume wake
na wazazi wake kwa kutoa kauli hizo za uongo," alisema Tarpley
Ni vyema kwa wanahabari wa mitandao yakijamii kufanya utafiti wa kina kabla
Yakuchapisha nakala zao mitandaoni.