Masogange Akamatwa na Polisi Sakata la Madawa ya Kulevya


Video queen maarufu Bongo, anayefahamika kutokana na shepu yake matata, Agness Gerald almaarufu Masogange, anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo Kikuu (Central) akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

Masogange alikamatwa na polisi jana usiku na taarifa zinaeleza kwamba, mpaka muda huu bado anashikiliwa central. 

Popular posts from this blog

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, aomba maji ya mwekezaji

MWANA SPOTI

Blowser error: Invalid Server Certificate