DAVID BECKHAM: MHEZAJI MPIRA MAARUFU WA ZAMANI AAJIRI WATAALAM WA UDUKUZI WA MITANDAO "CYBER-SECURITY EXPERTS"

Wataalam hao wa usalama wa mtandao wameajiriwa kufatana na
mfululizo wa kudukuliwa Barua Pepe zake. "Marclay Associates"
wameajiriwa na mchezaji huyo wa zamani kwaajiri ya kutambua ambaye aliiba
ujumbe wa nyaraka 18.6million.
Kampuni ya Marclay
Associates, inaendeshwa na Jake Hockley , ambaye
awali alifanya kazi na Serikali ya Uingereza kabla ya kuhamia sekta binafsi
mwaka 2012.