MWANANCHI
CUF: Yajipanaga kudai tume huru za uchaguzi.
DODOMA: Wabunge waicharukia serikali kuhusu fedha za maendeleo.
TANESCO: Tatizo la kukatika umeme Dar es salaam kumalizika Mei, Drk Tito Mwinuka Mkurugenzi mtendaji wa Tanesco.
BANDARINI: Mtikisiko wa uchumi wasababisha kampuni kuegesha malori 550
>> "Mtwara
kushika mkia siyo bahati mbaya", Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Mkuu huyo
alitarajia hali kuwa hivyo kutokana na hali ya elimu kutopewa kipaumbele mkoani
Mtwara. Soma zaidi
>> Serikali kukabiliana na kupanda kwa bei za vyakula, Waziri mkuu Mh. Majaliwa amesema Serikali imeruhusu tani 1.5 zilizokuwa zimehifadhiwa kuuzwa ili kukabiliana na bei ya vyakula. Habari zaidi