JAMBO LEO








Dk Abdallah Possi

Possi: Nitajiuzulu uwaziri


NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wenye Ulemavu, Dk Abdallah Possi, 
amesema wakati wowote atakabidhi barua ya kujiuzulu ubunge kwa Spika Job Ndugai.
“Unapokuwa kwenye jamii, unakutana na watu na unapoondoka utawakumbuka lakini 
mwisho wa siku nilikuwa mtumishi nahudumia Taifa, hivyo hii ni nafasi nyingine 
ya kuhudumia nchi,” alisema. Soma zaidi

Popular posts from this blog

Blowser error: Invalid Server Certificate

TANZANIA: MPANGO WA KUTENGENEZA ROBOT