Robots zilizo tengenezwa kutekeleza majukumu fulani kutengenezwa na wanafunzi kwa majaribio chini ya wataalam kutoka Korea. Jumla ya wanafunzi 30 kutoka shule ya Suye na Moshono jijini Arusha tayari waanza mafunzo ya kutengeneza Roboti. "Robotic camp", ni mpango ulioanzishwa jijini Arusha na "E3- Empower Africa" kampuni ya kitekinolojia kutokea Korea. "E3" ikimaanisha "Technology, Education and Entrepreneurship" "Sisis hatufanyi mafunzo kwaajili ya watanzania pekee bali hata Marekani, ikimaanisha ni tekinologia ya hali yajuu hata kwa mataifa yaliyo endelea" alisema Seo