TANZANIA: PICHA ZILIZO ITANGAZANCHI KATIKA UTALII
Mpiga picha ajulikanaye kwa jina la Keith Crowley, 56, kutoka mji wa Hudson, Wiscons nchini Marekani na kutalii sehem ijulikanayo kama "Ndutu" nchini Tanzania kwajili ya kupiga picha wanyama hasa hasa ajulikanaye kama "Duma" na "Paa".
"Nlishawahi shuhudia Paa akiwindwa bali hii ilikuwa ya kipekee kuona Paa akinikimbilia katika harakati za kujiokoa," alisema Keith.



