TANZANIA: NEWSPAPER HEADLINES / VICHWA VYA HABARI MAGAZETINI
GAZETI LA MWANANCHI

- Tundu Lissu amkingia kifua Mbowe polisi
- Bei ya sembe yazidi kupaa
- Sianga aeleza ugumu vita dawa za kulevya
- Misaada ya wahisani Zanzibar yapaa-BoT
- TFF yaitosa Simba kisomi
