WASANII MIKONONI MWA POLISI: Wema Sepetu, Dogo Hamidu, Khalid Mohamed (TID)
DAR ES SALAAM: Wasanii washikiliwa kwa uchunguzi zaidi kwa tuhuma za madawa ya kulevya, macho na masikio ya watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa bado wasanii hao Wema Sepetu, Dogo Hamidu, Khalid Mohamed (TID), na mtangazaji maarufu wa Clouds TV Babuu wa Kitaa bado wanashikiliwa na jeshi hilo.
“Bado tunawashikilia kwa mahojiano zaidi,” amesema Sirro kwa kifupi.
Wasanii wengine waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambao wanatakiwa kufika kituoni Jumatatu ni Vanessa Mdee, Tunda na watu wengine Halidali Kavila, Amani, Kashozi na Omary Sanga.
...................................................................................................................................................................
- Mkurugenzi wa NCB wa Kanda ya Delhi, Madho Singh, alisema madawa hayo yalipatikana katika mizigo ya Thelma na hivyo wanawake wote wawili wamekamatwa kuhusiana na madawa hayo ambayo thamani yake katika soko ni kubwa.
- DC Makonda dhidi ya Madawa ya kulevya: “Unga unamaliza nguvu-kazi ya taifa, huu ni muonekano wa vijana wa kesho tukichelewa kushirikiana, ” aliandika Mpoto.
Ray na Chuchu.
UTATA WAIBUKA MTOTO WA CHUCHU NA RAY
UTATA mzito umeibuka kuhusiana na mtoto aliyezaliwa na msanii wa filamu Bongo,
Chuchu Hans ambapo mashabiki wengi wametaka kujua kama mtoto huyo ni wa Vincent
Kigosi ‘Ray’ au nani na kwa nini kuna usiri mkubwa juu ya kuzaliwa kwa mtoto huyo?
Ijumaa linakupa hatua kwa hatua.
”Mimi sina ujauzito, watu wanasema tu na kama unataka kuhakikisha, nitakuja hapo
ofisini kwenu mnipige picha,” alisema Chuchu. Soma zaidi
...................................................................................................................................................................
JOB OPPORTUNITIES:



